Nyimbo za Bongo Fleva

Nyimbo za Bongo Fleva

M1 Technologies
v1.0 (1) • Updated Dec 14, 2024
5.0 ★
10 Reviews
1,000+
دانلودها
Android 5.1++
Requires
AD
نام Nyimbo za Bongo Fleva
نسخه اندروید 5.1+
ناشر M1 Technologies
ژانر. دسته MUSIC AND AUDIO
اندازه 8 MB
Version 1.0 (1)
آخرین بروز رسانی در تاریخ 2024-12-14
دانلودها 1,000+
Get it On Google Play


دانلود Nyimbo za Bongo Fleva Android

Download APK (8 MB )

Nyimbo za Bongo Fleva

Introductions Nyimbo za Bongo Fleva

Nyimbo zote za bongofleva ndani ya App

Sasa unaweza kusikiliza na kupakua nyimbo za bongofleva kutoka kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya yaani bongo fleva na singeli pamoja na hip hop kutoka Tanzania, Afrika mashariki na Afrika nzima.
Utapata nyimbo zote mpya kutoka kwa wasanii wakubwa na wasanii wapya kama vile
- Alikiba
- diamond Platnumz
- Marioo
-Jux
-Harmonize
--Rayvanny
-zuchu
-Nandy
na wengine wengi.

Pakua na usikilize na kuona nyimbo mpya na video za nyimbo hizo kila wakati hata ukiwa hauna bando.

Pia utapata kusoma habari za udaku zinazohusu mastaa na nyota wa muziki wa Tanzania.

Nyimbo mpya kila wakati, Ipakue App hii sasa na ufurahie. usisahau kusambaza app hii kwa ndugu na marafiki.
AD

Download APK (8 MB )