Zero dalali
Introductions Zero dalali
connects tenants directly with landlords without a broker
Wanaotaka kupanga au kununua nyumba au Ofisi, au Go-down, au kiwanja , zero dalali inakukutanisha moja kwa moja na mwenye nyumba bila ya Dalali ,Kama unataka kupangisha nyumba au Ofisi au Go-down , au kuuza kiwanja , zero dalali inakukutanisha Moja kwa moja sokoni na wateja bila ya dalali na bila usumbufu
