The Online Radio: Mungu Kwanza

The Online Radio: Mungu Kwanza

Masoko ltd
v1.0.0 (1) • Updated Dec 07, 2024
5.0 ★
10 Reviews
1,000+
Téléchargements
Android 5.1++
Requires
AD
Nom The Online Radio: Mungu Kwanza
Version Android 5.1+
Éditeur Masoko ltd
Taper MUSIC AND AUDIO
Taille 19 MB
Version 1.0.0 (1)
Dernière mise à jour le 2024-12-07
Téléchargements 1,000+
Obtenez-le Google Play


Télécharger The Online Radio: Mungu Kwanza Android

Download APK (19 MB )

The Online Radio: Mungu Kwanza

Introductions The Online Radio: Mungu Kwanza

waza tofauti, Amua tofauti, Fanya tofauti

Mungu Kwanza Radio ni redio ya kiroho inayokusudia kuleta mabadiliko katika maisha ya watu kupitia ibada, maombi, na mafundisho ya Biblia. Redio hii inatoa platform kwa watu wa imani mbalimbali kushiriki, kusikiliza, na kujifunza kuhusu neno la Mungu katika mazingira ya upendo na umoja.
Mungu Kwanza Radio inapatikana kwenye mitandao ya kijamii na kupitia tovuti yetu, ili wasikilizaji waweze kufuata vipindi vyetu popote walipo. Pia, tunahamasisha jamii kushiriki mawazo na maombi yao ili tuweze kukua pamoja
Tunakaribisha kila mtu kujiunga na Mungu Kwanza Radio, kwa kuwa pamoja tunatengeneza mazingira ya ibada na maombi. Kuwa sehemu ya familia yetu ya kiroho, na pamoja tutaweza kushiriki katika kueneza injili na kubadilisha maisha ya watu kwa nguvu ya Mungu.
AD

Download APK (19 MB )