The Online Radio: Mungu Kwanza

The Online Radio: Mungu Kwanza

Masoko ltd
v1.0.0 (1) • Updated Dec 07, 2024
5.0 ★
10 Reviews
1,000+
다운로드
Android 5.1++
Requires
AD
이름 The Online Radio: Mungu Kwanza
안드로이드 버전 5.1+
발행자 Masoko ltd
유형 MUSIC AND AUDIO
크기 19 MB
버전 1.0.0 (1)
마지막 업데이트 날짜 2024-12-07
다운로드 1,000+
Get it On Google Play


다운로드 The Online Radio: Mungu Kwanza Android

Download APK (19 MB )

The Online Radio: Mungu Kwanza

Introductions The Online Radio: Mungu Kwanza

와자 토파우티, 아무아 토파우티, 파냐 토파우티

Mungu Kwanza Radio ni redio ya kiroho inayokusudia kuleta mabadiliko katika maisha ya watu kupitia ibada, maombi, na mafundisho ya Biblia. Redio hii inatoa platform kwa watu wa imani mbalimbali kushiriki, kusikiliza, na kujifunza kuhusu neno la Mungu katika mazingira ya upendo na umoja.
Mungu Kwanza Radio inapatikana kwenye mitandao ya kijamii na kupitia tovuti Yetu, ili wasikilizaji waweze kufuata vipindi vyetu popote walipo. 피아, tunahamasisha jamii kushiriki mawazo na maombi yao ili tuweze kukua pamoja
Tunakaribisha kila mtu kujiunga na Mungu Kwanza Radio, kwa kuwa pamoja tunatengeneza mazingira ya ibada na maombi. Kuwa sehemu ya familia Yetu ya kiroho, na pamoja tutaweza kushiriki katika kueneza injili na kubadilisha maisha ya watu kwa nguvu ya Mungu.
AD

Download APK (19 MB )