The Online Radio: Mungu Kwanza

The Online Radio: Mungu Kwanza

Masoko ltd
v1.0.0 (1) • Updated Dec 07, 2024
5.0 ★
10 Reviews
1,000+
Lượt tải
Android 5.1++
Requires
AD
Tên The Online Radio: Mungu Kwanza
Yêu cầu Android 5.1+
Nhà phát hành Masoko ltd
Thể loại MUSIC AND AUDIO
Kích thước 19 MB
Phiên bản 1.0.0 (1)
Cập nhật 2024-12-07
Lượt tải 1,000+
Xem trên Google Play Google Play


Tải về The Online Radio: Mungu Kwanza Android

Tải APK (19 MB )

The Online Radio: Mungu Kwanza

Giới thiệu về The Online Radio: Mungu Kwanza

waza tofauti, Amua tofauti, Fanya tofauti

Mungu Kwanza Radio ni redio ya kiroho inayokusudia kuleta mabadiliko katika maisha ya watu kupitia ibada, maombi, na mafundisho ya Biblia. Redio hii inatoa platform kwa watu wa imani mbalimbali kushiriki, kusikiliza, na kujifunza kuhusu neno la Mungu katika mazingira ya upendo na umoja.
Mungu Kwanza Radio inapatikana kwenye mitandao ya kijamii na kupitia tovuti yetu, ili wasikilizaji waweze kufuata vipindi vyetu popote walipo. Pia, cá ngừhamasisha jamii kushiriki mawazo na maombi yao ili tuweze kukua pamoja
Tunakaribisha kila mtu kujiunga na Mungu Kwanza Radio, kwa kuwa pamoja tututengeneza mazingira ya ibada na maombi. Kuwa sehemu ya familia yetu ya kiroho, na pamoja tutaweza kushiriki katika kueneza injili na kubadilisha maisha ya watu kwa nguvu ya Mungu.
AD

Tải APK (19 MB )